Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Tuesday, 20 June 2017

Mbinu Tano za Kufanikiwa.

Watu wengi wamekuwa wakitafuta mafanikio maishani lakini tambua kwamba mafanikio ya kweli yatapatikana...

Tuesday, 16 May 2017

Mwanamke ajioa baada ya kukosa Mume.

May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan anaugua ugonjwa wa saratani ya matiti lakini...

Tuesday, 25 April 2017

Falsafa Tatu za Maisha.

Habari mpenzi msomaji wa TIFC Blog, na karibu katika makala ya leo. Leo tutazungumzia falsafa tatu katika maisha ambazo kila

Monday, 17 April 2017

Wednesday, 8 March 2017

Wanawake na Teknolojia.

Tarehe 8 mwezi wa 3 kila mwaka huazimishwa siku ya wanawake duniani.Katika kuthamini mchango wao wa maendeleo leo...

Friday, 3 March 2017

Mitandao ya kijamii na APP zinazo ongoza Dunian.

Inawezekana umekua ukitumia mitandao ya kijamii pamoja na Mobile App kwenye simu lakini...


Wednesday, 25 January 2017

Trump kuwafuta kazi mabalozi wa marekani.

Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Marekani duniani



Kwa mujibu wa The Independent na ParsToday wanasema kuwa RaisDonald Trump wa Marekani amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi hiyo kote duniani na wanaohudumu katika mashirika ya kimataifa ambapo uamuzi huo umefanyika katika siku yake ya kwanza kazini.

Tuesday, 3 January 2017

Usajili



Usajili wa wanachama wa TIFC

Baadhi ya wanachama waanzilishi wa TIFC Wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya zoezi la kusajili na kuandikisha wanachama wa TIFC.
Zoezi hilo lilifanyika mwishoni mwa mwaka 2016 ikiwa ni moja ya utaratibu wa kusajili wanachama wa umoja wetu.Tukio lingine la usajili litafanyika hivi karibuni Endelea kua nasi kwa habari na mambo mazuri hapa hapa....