Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Monday, 17 April 2017

Vituko vya mbuzi wa Tanzania.


Wahenga walisema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni...

Nchini Tanzania wapo mbuzi wengi  ambao wamekuwa kivutio kwa matendo yao ya ajabu na kuvuta hisia za wapita njia.
Ukiwa Tanzania hasa mitaani utaweza kuona vituko ivi vya mbuzi hao kwa wengine wamesha wazoea na kuona ni kitu cha kawaida kwao ila ukiwa ni mgeni hapo utaweza kujionea vioja na vituko vya mbuzi hao walioko mitaani.

Mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja alivutiwa na matendo yao, na hivyo kuamua kukuletea taarifa hii