Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Wanakikundi

Kwamujibu wa katiba yetu ya kikundi cha TIFC wanakikundi wamegawanywa katika sehemu kuu tatu ili kuweka muundo na utekelezaji wenye kueleweka kirahisi na kila mwanachama.

Aina za wanachama
  1. Wanachama waanzilishi.
    Ni wale walio shiriki kwa namna moja au nyingine katika kuanzisha kikundi na kulipa ada na michango yote iliyo kubalika na bodi ya uongozi na kikao kikuu cha wanachama.
  2.  Wanachama wa kujiunga .
    Ni wale watao kuja kujiunga baada ya kikundi kuanzisha shughuli zake kwa kulipa ada ya kujiunga na kikundi
    .
  3. Mwanachama mwalikwa.
    Ni wale watao kua wanaalikwa kwa shughuli maalaumu ya kikundi kwa kupewa uanachama wa heshima.
 TIFC tunaamini kwa kuungana pamoja tunaweza kuleta maendeleo ya pamoja kwa mtu mmoja mmoja na kwa jamii pia kuwepo kwa umoja huu utasaidia kupunguza vitendo vibaya pamoja na uvunjaji wa sheria kwan kupitia semina,utendaji na utaratibu ulio wekwa na kikundi chetu ni njia pekee itayo mfanya Raia wa kitanzania aweze kujitambua na kupata maendeleo kwa ujumla.