Inawezekana umekua ukitumia mitandao ya kijamii pamoja na Mobile App kwenye simu lakini...
hufahamu mtandao unao tumia una nguvu kiasi gani ya watumiaji Duniani.Pengine huelewi kuna nini nyuma ya hiyo mitandao unayo tumia.Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekua na mchango mkubwa katika nyanja tofauti hivyo ni vizuri ukaelewa nguvu ya mtandao uliopo.