Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Wednesday, 7 December 2016

Repoti ya chanzo cha kifo cha mchezaji wa mbao FC

Ripoti ya Madaktari kuhusu chanzo cha kifo cha mchezaji wa Mbao FC

Ripoti iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Dk. Thoma Rutta na kusomwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi inaeleza kuwa kusimama kwa moyo ghafla ndio chanzo cha kifo chipukizi wa Mbao FC ya Mwanza, Ismail Khalfan Mrisho.

Aweka Bango lakutafuta mke

Mzee wa Miaka 75 Aweka Bango la Mke Anayemtaka 

Kutoka Dar es salaam.

 

Katika  hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani  baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango barabarani.