Baadhi ya wanakikundi cha TIFC pamoja na viongozi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao kikuu cha wanachama.
Moja ya vikao vya kujadili na kuichambua katiba ya kikundi vikiwa vinaendelea huku wajumbe wakisikiliza kwa umakini mkubwa wachangia maada.
Juhudi za kuandaa katiba ziliendelea vizuri huku kila mjumbe akichangia mada hii inaonesha kua umoja wa TIFC una watu makini sana.