Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Wednesday, 25 January 2017

Trump kuwafuta kazi mabalozi wa marekani.

Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Marekani duniani



Kwa mujibu wa The Independent na ParsToday wanasema kuwa RaisDonald Trump wa Marekani amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi hiyo kote duniani na wanaohudumu katika mashirika ya kimataifa ambapo uamuzi huo umefanyika katika siku yake ya kwanza kazini.

Tuesday, 3 January 2017

Usajili



Usajili wa wanachama wa TIFC

Baadhi ya wanachama waanzilishi wa TIFC Wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya zoezi la kusajili na kuandikisha wanachama wa TIFC.
Zoezi hilo lilifanyika mwishoni mwa mwaka 2016 ikiwa ni moja ya utaratibu wa kusajili wanachama wa umoja wetu.Tukio lingine la usajili litafanyika hivi karibuni Endelea kua nasi kwa habari na mambo mazuri hapa hapa....

Wednesday, 21 December 2016

Kukomesha Uhalifu

Majambazi Wawili Wauawa Jijini Mbeya 


Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya wamefanikiwa kuzuia tukio la ujambazi katika mapambano ya kurushiana risasi na watu waliosadikiwa kuwa ni majambazi na kuua wawili kati yao.

Wednesday, 7 December 2016

Repoti ya chanzo cha kifo cha mchezaji wa mbao FC

Ripoti ya Madaktari kuhusu chanzo cha kifo cha mchezaji wa Mbao FC

Ripoti iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Dk. Thoma Rutta na kusomwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi inaeleza kuwa kusimama kwa moyo ghafla ndio chanzo cha kifo chipukizi wa Mbao FC ya Mwanza, Ismail Khalfan Mrisho.

Aweka Bango lakutafuta mke

Mzee wa Miaka 75 Aweka Bango la Mke Anayemtaka 

Kutoka Dar es salaam.

 

Katika  hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani  baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango barabarani.