Lekam Hotel

Lekam Hotel
lekam Hotel

Friday, 2 December 2016

Takwimu za VVU Tanzania.

Wanawake Waongoza Kuwa Na Virusi Vya Ukimwi Nchini

 Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO

Utafiti wa Viashiria vya Virusi vya UKIMWI (VVU) na Maralia (THMIS) wa mwaka 2011/2012 kwa upande wa Tanzania Bara vinaonyesha kuwa idadi kubwa ya wanawake wameambukizwa ugonjwa huo kuliko wanaume.

Thursday, 1 December 2016

Kutoka ilala

Baadhi ya wanakikundi cha TIFC pamoja na viongozi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao kikuu cha wanachama.

 Moja ya vikao vya kujadili na kuichambua katiba ya kikundi vikiwa vinaendelea huku wajumbe wakisikiliza kwa umakini mkubwa wachangia maada.

Kwenye picha ni baadhi ya wanachama waanzilishi wa TIFC kabla ya kikao.
Juhudi za kuandaa katiba ziliendelea vizuri huku kila mjumbe akichangia  mada hii inaonesha kua umoja wa TIFC una watu makini sana.