Wednesday, 21 December 2016
Kukomesha Uhalifu
Wednesday, 7 December 2016
Repoti ya chanzo cha kifo cha mchezaji wa mbao FC
Ripoti ya Madaktari kuhusu chanzo cha kifo cha mchezaji wa Mbao FC
Ripoti iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Dk. Thoma Rutta na kusomwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi inaeleza kuwa kusimama kwa moyo ghafla ndio chanzo cha kifo chipukizi wa Mbao FC ya Mwanza, Ismail Khalfan Mrisho.Aweka Bango lakutafuta mke
Mzee wa Miaka 75 Aweka Bango la Mke Anayemtaka
Kutoka Dar es salaam.
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango barabarani.
Saturday, 3 December 2016
Mtoto Atunukiwa PhD
MTOTO WA MIAKA 11 ATUNIKIWA PhD
WAHITIMU, viongozi na wageni waliohudhuria Mahafali ya 32 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro, waliingiwa na simanzi wakati mtoto, Tamar Aaron Mbogho (11), alipojitokeza na kupokea Shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD), akimwakilisha mama yake Swai Sophia Faustin ambaye alifariki dunia miezi sita kabla ya kufika siku ya mahafali.

Friday, 2 December 2016
Takwimu za VVU Tanzania.
Wanawake Waongoza Kuwa Na Virusi Vya Ukimwi Nchini
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Utafiti
wa Viashiria vya Virusi vya UKIMWI (VVU) na Maralia (THMIS) wa mwaka
2011/2012 kwa upande wa Tanzania Bara vinaonyesha kuwa idadi kubwa ya
wanawake wameambukizwa ugonjwa huo kuliko wanaume.
Thursday, 1 December 2016
Kutoka ilala
Baadhi ya wanakikundi cha TIFC pamoja na viongozi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao kikuu cha wanachama.
Moja ya vikao vya kujadili na kuichambua katiba ya kikundi vikiwa vinaendelea huku wajumbe wakisikiliza kwa umakini mkubwa wachangia maada.
Juhudi za kuandaa katiba ziliendelea vizuri huku kila mjumbe akichangia mada hii inaonesha kua umoja wa TIFC una watu makini sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)