Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Marekani duniani
Kwa mujibu wa The Independent na ParsToday wanasema kuwa RaisDonald Trump wa Marekani amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi hiyo kote duniani na wanaohudumu katika mashirika ya kimataifa ambapo uamuzi huo umefanyika katika siku yake ya kwanza kazini.